ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 28, 2013

KWA WALE AMBAO WALIKIKOSA KIJIWE CHA UGHAIBUNI

7 comments:

Anonymous said...

dah naona jamaa analalamika sana,mwana umeoa kibibi nini?

Anonymous said...

duh Benja kama upae vile...hapo tukuletee ungo tu. msalimie shemeji yetu Shaquandah...mwambie nitakuja kuwasalimia ila napendelea bamia na samaki wa kupaka zaidi na chai asubuhi kama nikipata chapati moja tu nitakuwa aight!

Anonymous said...

Yaani mnatuburudisha sana nyie watoto. Nimecheka meno yote thelathini na nje mbili na mbavu zinauma sana. Labda marekebisho kidogo wana-kijiwe; kupata makaratasi kupitia ndoa siyo "the only way" kama kamanda mmoja alivyozungumza. Nafikiri ilikuwa ni 'slip of the tongue' na ninaamini anafahamu kuwa "there are several ways". Mnavyozidi kuongezeka ndivyo mnanogesha kipindi. Jingine pia nafikiri mwendesha kipindi asi-lose control ili kuwapa wajumbe wote muda sawa wa kujadili. Wengi mnayo mnawazo mazuri sana lakini hampati muda wa kuongea. Tunawashukuru sana na kuwaomba muendelee kutuburudisha.

Anonymous said...

Hii kitu safi sana,big up luka,hao watu wote uliowachagua wako bomba Benja unakipendezesha sana kipindi lakini badilisheni sehemu sio kila siku hapohapo saa nyingine kwenye majumba ya haohao waongeaji,kwenye restaurants za wajasiliamali wa hapo dc, uwanja wa mpira barabarani parking lots na sehemu mbalimbali mnachanganyachanganya vipandevipande babu.Huo ni mtazamo wangu na baadhi ya watu waliosajesti.halafuvueni miwani jamani.Wawekeni na madada pia watoe maoni yao wakiwa wenyewe na pia siku nyingine changanya makaka na madada wanakua kwenye kipindi kimoja wanadiscuss kwa pamoja,kwakweli hawa wananitoa stress zangu,nacheka mpaka raha kila siku lazima niangalie hii kitu.Asante sana luka.

Unknown said...

This is funny as hell!!!

Unknown said...

This is funny as hell

Unknown said...

This is freaking funny!!