Katika hali ya kushangaza mwanaume mmoja mwenye asili ya kizungu leo asubuhi aliwashangaza watu abaada ya kushiriki maadhimiho ya siku ya wanawake duniani yalioadhimishwa leo.
Mwanaume kizungu[wenye T-Shert ya mistali] likishiriki bila noma kwenye maandamano ya wanawake hao walioanzai ofisi za halmashuri ya mansipaa ya Morogoro kuelekeka uwanja wa Jamhuri.
katika kudhamishi siku hiyo jeshi la polsi mkoa wa morogoro liliwatuma askari kuongoza maandamano hayo
Kina bibi hao nao walishiriki kikamilifu maadhimisho hayo
Naibu Meya ya mansipaa ya M,orogoro ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi wa maadhimisho hayo yaliofanyika kiwilaya manispaa ya Morogoro,akiwahutubia wanawake waliofurika kwenye uwanja wa Jamhauri
Picha kwa hisani ya (Audifaceblog)
1 comment:
Kwani hao wanaopiga ngoma na matarumbeta ni wanawake? Au hawasemwi kwa vile wao siyo wazungu?
Post a Comment