Kutoka kulia, Rage, Malkia wa Nyuki na Kaburu.
SIMBA SC leo imetangaza Kamati Maalum ya kusimamia timu wakati huu, baadhi ya viongozi wamejiuzulu na Mwenyekiti Alhaj Ismail Aden Rage yupo India kwa matibabu.
Kamati hiyo itakuwa chini ya Rahma Al Kharoos, maarufu kama Malkia wa Nyuki. Wengi wanafahamu namna ambavyo Kaburu na Rage walipigana kwa muda mrefu tangu waingie madarakani, lakini wamechemsha. Je, kamati ya Malkia wa Nyuki itaweza?( kwahisani ya Bin Zubeiry)
No comments:
Post a Comment