Mvua kali zinazoendelea zasababisha madhara ya miundombinu
Mvua zinazondelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini zimeasababisha kukatika kwa mawasiliano ya barabara kati ya wilaya za Monduli na Karatu mkoani Arusha baada ya daraja la mto Kirurumo linaounganisha wilaya hizo kufunikwa na mawe na kusababisha maji kukata sehemu kubwa ya barabara hiyo
No comments:
Post a Comment