RODGRS EXPORTS, LLC.
TUNAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE NA MARAFIKI KWA WALE WANAOPENDELEA KUSAFIRISHA MIZIGO KWA NJIA YA CONTENA KWENDA DAR-ES-SAAM NA ZANZIBAR-TANZANIA, USAFIRI UTAKUWEPO
APRIL-25 UKUSANYAJI WA MIZIGO KWA WAKAAZI WA (NORTHERN STATES) UTAANZA APRIL-12-THRU APRIL-14, BOSTON,CT,NY,NJ,PA,DL,MD,DC, VA. VILE VILE KWA WAKAZI WA OH,GA UKUSANYAJI WA MIZIGO UTAFANYIKA APRIL-19-THRU APRIL-21, TUNAWAKARIBISHA WALEWOTE WANAOPENDELEA
KUTUMIA HUDUMA ZETU,KWA WALE AMBAO HATUTOWEZA KUWAFIKIA KATIKA HARAKATI ZETU ZA
UKUSANYAJI WA MIZIGO,WASILIANA NA HAJI KWA HUDUMA ZA (FEDEX GRAUND) UNACHOTAKIWA
KUFANYA CHUKUA MZIGOWAKO NA PELEKA OFISI YOYOTE YA FEDEX ILIOPO KARIBU NA WEWE,
FEDEX WATATULETEA MZIGOWAKO (NC),TUMIA (ACC#) YATU YA FEDEX BILA YA USUMBUFU WOWOTE. BILA YA KUSAHAU TUMEANZISHA HUDUMA MPYA KWA WATU WOTE
WANAOISHI TANZANIA KWA WALE WATAKAO PENDELEA KUNUNUA BIZAA BORA KUTOKA HAPA USA, RODGRS EXPORTS LLC ITAPOKEA BIZAA HIZO KUTOKA KWA MUZAJI NA KUSAFIRISHA TANZANIA
KWA MMILIKI WA BIZAA HIZOO. (SHOP ONLINE AND USE RODGERS EXPORTS LLC ADDRESS FOR DELIVERY) WASILIANA NA HAJI KWA MAELEKEZO ZAIDI (919-672-6063) AU INGIA KWENYE TAVUTI YETU WWW.RODGERSEXPORTS.COM SHUKRAN ZANGU ZIWAFIKIE NYOTE.
HAJI ABDULLA
CEO RODGERS EXPORTS LLC
No comments:
Post a Comment