Ibaada ya Shukurani
Tunapenda kuwaarifu kuwa mpendwa dada yetu Rose Mwalulili, atakuwa na misa ya shukurani kufuatia msiba wa mpendwa dada yake.
Misa itafanyika siku ya Jumapili 03/24/2013 saa saba mchana.
Katika Kanisa la Injili kwa Njia ya Msalaba
3621 Campus Drive
College Park, MD.
Wote mnakaribishwa!
No comments:
Post a Comment