ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 7, 2013

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUHUSIANA NA TUKIO LA KUVAMIWA ABSALOM KIBANDA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi.

1 comment:

Anonymous said...

Mh. Dkt. Emanuel Nchimbi, Nafahamu kuwa unafanya kazi katika mazingira magumu hasa kutokana na wimbi la uhalifu wa aina hii ambao unaonyesha kushamiri sana Tanzania. Watanzania wengi wanahusisha tukio hili na vuguvugu za kisiasa zilizojitokeza bungeni. Iwapo ni kweli na tume ikibaini hivyo basi tunaomba wahusika wote wawekwe hadharani na sheria ichukue mkondo wake. MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU