ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 6, 2013

Tanzania na Denmark zakubaliana kubadilishana watuhumiwa.


Serikali ya Tanzania na Denmark zimetiliana saini makubaliano ya mikataba miwili ya huduma za maendeleo, kuanzisha ushirikiano wa kuhamisha watuhumiwa wa uharamia, unyang'anyi wa kutumia silaha na mali zilizokamatwa katika moja ya nchi hizo pamoja na mkataba wa kusaidia kiuchumi kisiwa cha Zanzibar..

1 comment:

Anonymous said...

MH. RAIS J.K, Waziri mkuu wa Danmark ameweka wazi kuwa yeye ni "Champion For the UN Initiative For Education" (mwana harakati wa ELIMU) na nchi yake inajitahidi sana kuisaidia Tanzania katika kukuza ubora wa Elimu katika ngazi zote, Swali langu kwako Mh. Rais Je waziri Mkuu huyo amepewa taarifa za matokeo mabaya sana ya mitihani kidato cha nne?? Nauliza hilo maana linagusa "The Future of Our Country" Baba wa Taifa alisema "Mfichaficha Maradhi kilio kitamuumbua" na kutilia msisitizo alilisema hilo kwa lugha ya kizanaki...NAROBOBEKA NA KILWERE EKIRORO KILIMBURA" WAZANAKI MNISAHIHISHE