ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Mbeya
Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi hilo
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira Uyole mbeya
kwa picha zaidi bofya read more
Kwaya mbali mbali zilitumbuiza katika uzinduzi huo
Mara baada ya ibada Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni waalikwa
Mkuu wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa Mbeya
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini makumira
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akipanda mti kama ishara ya utunzaji wa mazingira
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimwagilia alioupanda kwa ajili ya utunzaji wa mazingira chuoni hapo
Hili ni jengo la utawala chuoni hapo
Picha na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment