Advertisements

Tuesday, March 26, 2013

WATOTO MBEYA WAUZA KUNI WAPATE HELA YA PASAKA

Picha juu na chini ni Watoto waliokutwa na mpiga picha wakitoka kuokota kuni maeneo ya msitu wa sisimba uliopo uzunguni Mbeya wamesema kuni hizo wanaenda kuziuza virabuni na kupata pesa ya kununulia nguo za pasaka hawakupenda kutaja majina yao ila wamesema wanatokea maeneo ya Nonde na machinjioni kata ya Itigi
Picha na Mbeya yetu

No comments: