Advertisements

Tuesday, March 26, 2013

Wadau wa sekta ya madini wamejitokeza kuusindikiza mwili wa marehemu Henry Nyiti

Maelfu ya wananchi,wadau wa sekta ya madini na viongozi wa ngazi mbalimbali wamejitokeza kuusindikiza mwili wa mfanyabiashara maarufu wa madini marehemu Henry Nyiti yaliyofanyika nyumbani kwake kata ya Akheri tarafa ya Poli wilayani Arumeru mkoani Arusha .

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza viongozi wenzake kwenda kwenda kuweka udongo kaburini.nyuma yake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe.
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP,Dr. Reginald Mengi naye akiweka udongo kaburini.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la muawa kaburini.
Picha kwa hisani ya Mtaa kwa Mtaa Blog

No comments: