Advertisements

Tuesday, March 26, 2013

Ununuzi Kwa Njia Ya Ushindani (Mnada)

mnada.co.tz
Hapa Tanzania mnada umekua ukifanyika pale mtu anapo shindwa kulipa deni.

Kawaida kila mtu anakitu ambacho angependa akiuze kwasababu moja au nyingine. Inaweza ikawa simu, laptop au kitu chochote, iwe ni kipya au kimetumika. Njia nzuri na rahisi ni kukinadi ili watu wakinunue kwa njia ya Ushindani kulingana na uwezo wao ambapo mwenye dau kubwa ndo atashinda.

Hii sasa inawezekana kupitia tovuti ya http://www.mnada.co.tz

No comments: