Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Dianna Melrose, aliyefika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Dianna Melrose, ofisini kwake Migombani
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Dianna Melrose, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na balozi wa Uingereza nchini Tanzania bibi Dianna Melrose, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwake Migombani.
No comments:
Post a Comment