ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 17, 2013

BI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA.

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE KUTOKA ZANZIBAR, ZINASEMA KUWA, MWIMBAJI MAARUFU WA MIONDOKO YA TAARABU AMEFARIKI DUNIA.
BI KIDUDE AMEFARIKI DUNIA AKIWA NA ZAIDI YA UMRI WA MIAKA 100. 
MPAKA SASA HATUJAPATA SABABU ZA KIFO CHAKE.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMEN.

1 comment:

Anonymous said...

inna lillahi waina illahi rajiun tuko nyuma yako bi kidude hakika mwanadamu hana hila wala pingamizi siku yake ikifika

mdau NY

NITA MISS SANA NYIMBO ZAKE