ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 19, 2013

FAIDA ZA MAZOEZI UVUTAJI PUMZI- Zoezi la 1


Mwandishi Freddy Macha anaendeleza gumzo lake kuhusu umuhimu wa mazoezi ya kuvuta pumzi kwa kuangalia mada mbili muhimu yaani kuzitawala na kujua kuzitumia wakati maalum mathalan : fadhaa, mchafuko wa hewa au pale kina mama wanapojifungua...

No comments: