ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 29, 2013

mdau Joseph Msami akiwa kazini

Mdau Joseph Msami, ambaye ni mwandishi wa Habari wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa, akimfanyia mahojitao, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi, wakati watanzania waishio jijini New York na Vitongoji vyake walipokutanika siku ya jumamosi kusherehekea miaka 47 ya Muungano

No comments: