Mimi Mshaka Bilal (wapili toka kushoto), napenda kutoa shukurani za dhati kwa wote waliojumuika na mimi tangu siku nilipopata msiba wa mama yangu mzazi, nimefarijika sana na kujisikia tupo pamoja kama ndugu wa baba mmoja.
Kusema ukweli sina cha kuwalipa kitakacholingana na yale yote mliyoyafanya katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mama yangu yote namuachia Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ndie pekee anayejua ni kiasi gani nilivyofarijika nasema asante na Mola awalipe maradufu.
1 comment:
inna lillahi waina illahim rajiun sote tutakwenda katika safari hii usijali ndugu yetu mshaka bilal na pole sana
na mselem unakuwa mzee ndugu yangu na marekani yako
Post a Comment