ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 16, 2013

PAMOJA NA KUVUNJA AMRI YA 6 NIMEMSAMEHE DIAMOND PLATZNUM!!

Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni staa huyo ameanzisha uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene Uwoya.....

Magazeti ya udaku nchini yaliandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako walienda kufanya yao.

Kufuatia tetesi hizo, mwandishi wetu amezungumza na mpenzi wa sasa wa Diamond,Penny ambaye amesema kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.

Katia hatua nyingine, Jokate Mwegelo aliyewahi kuwa na uhusiano na Diamond amekanusha taarifa iliyoandikwa na gazeti moja la udaku kuwa amemcheka Irene kwa kunaswa kwenye himaya ya Diamond.

“Mimi hivyo vitu havinihusu na wanapenda kupata quotes zangu pasipo hitajika. I don’t know why? I don’t why wanatafuta story. That’s their life kiukweli with whatever they choose to do, more power to them,” amesema Jokate.

1 comment:

Anonymous said...

joketi nampa tano ni msomo kadogo hiki kina kichwa kweli hataki kabisa kuhusishwa na mambo ya mitaani na ya watoto wa mazensi sijui wapi na wapi hataki udaku nampenda sana baby huyu uko juu mama hana longa longa za kutaka kujitangaza na tena wamempakazia kwamba yeye na diamond ni wapenzi ni uongo kutaka kuuza magazeti na kumkuza diamond

cha kusikitisha irene uyowe si kaolewa jamani na si anamtoto anaitwa jina la kibaniani krish au siyo huyu na si yeye na wema ndo walikwenda kwenye zamaradi kujinadi kwamba jackline woper ni fisadi au sio hawa jamani

na si yeye na wema marafiki wa kinafiki jamani angaliyeni sana mademu wa design hii wanacho jali wao kujifanya wazungu mchwara ni umaarufu na pesa that is it hawana hata kidogo class ya JOKETI NASEMA TENA HAWANA CLASS YA JOKETI NA JOKETI NAHIJUI WALA NINI SO SIMFAGILIA MIMI NIKO NY NIMEPENDA SANA USTAARABU WAKE JOKETI MTOTO WA KITANZANIA KWELI ALIYE TULIA HANA MAPEPE KAMA YA KINA WEMA SEPETU NA IRENE UYOWE