Hakuna mtu anayelazimishwa kula nyama yoyote ile.Ni hiari yake mwenyewe kula au kutokula.Na pia hakuna mtu anayelazimishwa kununua nyama kutoka kwenye duka fulani. Ni hiari yake mwenyewe kununua au kutokununua nyama hiyo. Sasa basi kama mtu anamahitaji yake binafsi kuhusu nyama fulani iwe labda ni kwa afya kama kisukari au ugonjwa wa moyo au kidini basi akajichinjie yeye mwenyewe nyama yake kwa imani au afya yake.Na kama anataka kufungue duka lake au na wenzake wauze hizo nyama zao basi waruhusiwe kufanya hivyo.Mbona kuna maduka kibao ya KITIMOTO NA HUKUNA MTU ANAYELAZIMISHWA KUNUNUA AU KULA KITI MOTO?? TATIZO LINAKUJA PALE WATU WA IMANI FULANI WANAPOANZA KUWALAZIMISHA WATU WA IMANI NYINGINE KULA AU KUCHINJA NYAMA KUFUATANA NA IMANI ZAO.HII NI HATARI KUBWA..
Mtoa maoni namba moja umefunga mjadala. Any free society mnyama hachinjwi kulingana na vitabu vitakatifu wala imani za dini. Eti kwa sababu Biblia haijasema chochote, basi tufuate Quran ilivyosema. Give me a break! Hiyo ni principal, au sheria, au theory, au personal opinion? Hivi safeway au giant wameajiri wachinjaji? Mnapofanya ziara huku unyamwezini huwa mnaambatana na wachinjaji? Umeshakiri kuwa serikali haina dini, halafu unasema Quran itumike katika kuchinja nyama za biashara. Really dude? Are you kidding me? Wakati wenzetu wangundua facebook, tweeter, drones, na wanachinja kwa kutumia mashine, sisi karne ya 21 bado tunalumbana nani achinje. Unaposema toka zamani waislamu ndiyo walikuwa wanachinja, kabla warabu hawajafika Tanganyika uislamu ulikuwepo? Na kabla wazungu hawajafika pia ukristu ulikuwepo? Mababu zetu walikuwa vegetarians? If no, nani alikuwa anachinja? Don't bring Qran to the BBQ grill, wacha watu wajinchinjie wanavyotaka wao na wafaidi cholesterol.
Ngudu zangu waislamu, heshima mliyopewa ya kuchinja ni kutokana na ustarabu wa wakristu. Haipo kwenye katiba ya nchi wala kifungu chochote cha sheria. Waacheni watu wajichinjie wanyama wao wanavyotaka wenyewe na wauze popote wanapota wenyewe. Hakuna sheria inayolazimisha kununua nyama isiyochinjwa na muislamu wala hakuna sheria inayolazisha Quran itumike katika kuchinja. Ukifika buchani uliza kama nyama imechinjwa kwa misingi ya dini yako au hapana. Kama jibu ni ndiyo, basi nunua, na kana siyo, nenda bucha lingine au fungua bucha lako.
That works very well in theocratic and dictatorship governments, Mr. Ruksa. But in circular governments (free society), neither the Bible nor the Quran has anything to do in commercial slaughterhouses.
shukrana kwa watoa madaa wote wadau wenzangu nataka kidogo kuwajibu mliyoyasema yote nimeyazingatia tena yana umuhimu lakini tujiulize mtu akija hapa na kusema eti safeway au giant eti tuna kwenda na wachinjaji wetu you must be out of you mind please excuse me for that because aliye muislamu wakweli na anayefuata dini yake popote pale alipo hanunuwi nyama safeway wala giant atatafuta duka hata kama ni 10 miles atawasha gari au atatafuta basi au train impeleke huko na kununua kiteweo chake.
narudia tena aliye muislamu wa kweli na anaye practice na kumuogopa Allah katu abadan hanunuwi nyama iliyokuwa hajachinjwa kwa dini yake popote pale ulimwenguni aliypo
na kuna mtu eti kasema tuko katika karne ya 21 you kidding me africa hatupo katika karne hiyooo tupo bado nyuma na tuna burutwa na kukukotwa ndo maana bara la africa lipo masikini juu ya kuwa na utajiri wa mali asili kibao
na mnajua nini FACEBOOK,TWEETERS,DRONES NA UPUUZI KIBAO MNAJUA VYOMBO HIVI nani kavianzisha kwa maana gani na faida ya nani, basi kama hamjui msiwe malibukeni kufifurahiya na kuona ndo usomi wa kizungu na taaluma njema
knowledge is power so use your power siyo yakutaka kuiga mambo ya watu
dini zote zina ustaarabu na heshma na wakiristo wamekatazwa toka zamani katika bibilia wasilie hiyo kiti moto lakini wa uroho wao na matamanio ya nafsi zao wamehalalisha..
subirini yesu akija ndo mtajua kama kiti moto kinaliwa au laaa
Nimependa sana mchango wa mdau wa mwango jamani kama unapesa yako na hutaki kununua kwenye bucha abalo hajachinja mtu au sunna ya dini yako basi kanunuwe kwengineko unajipa dhiki ya nini,kila mtu afanye anavyo weza au chinja nyama zako mwenyewe wachiye wanaojua kunyonga wasiojua kuchinja wakala vibutu.
muislamu daima mstaarabu na mwenye kumuhofu muumba wake
jamani nimesikia sana story hizi kwamba wazee wetu walikuwa vegeterian na tangu waarabu na wazungu hawajafika mababu zetu walikuwa na dini zao sasa najiuliza kuna historia hiyo na kama ipo niambiye nikatafute, uislamu ulikuwepo na pia ukiristo ulikuwepo toka hajafika mzungu wala muarabu mimi nina ushahidi ila sitaki kubishana nataka kuelimika anielimishe mdau aliye uliza swali kwamba kama eti wazungu na warabu ndo walio leta hizi dini na wazee wetu walikuwa hawana
ni historia potofuuu watu walikuwa na dini hizi toka zama za zama na uislamu ndo ulikuwepo
8 comments:

mr president your a very brave man,now i see why they say old is gold

Post a Comment