Advertisements

Wednesday, April 24, 2013

REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN‏

Lilian Samson Lungwa (19)
Khadija R. Zandaro (19)
kwa maelezo na picha zaidi bofya read more
Queen J. Mahwera (20)
Flora Juma (20)

Natasha M. Kassu (18)
Dolphine M. Chiganga (19)
Fatma A Machenga (20)
Lucy Tomeka (21)
Malika Kassim (19)
Linda Joseph (20)
Sophia Yusuph (20)
Ile Safari ya kumpata mrembo wa Miss Tanzania 2013 inaanzia na Miss Dar Indian Ocean. BHitz group Ltd. inakuletea Redds Miss Dar Indian Ocean. Mashindano haya yamepangwa kufanyika jumanne, April 30 kwenye ukumbi wa National Museum, na yatashirikisha warembo 11. 

Washiriki wa mwaka hu ni Lilian Samson Lungwa (19), Khadija R. Zandaro (19), Queen J. Mahwera (20), Flora Juma (20), Natasha M. Kassu (18), Dolphine M. Chiganga (19), Fatma A Machenga (20), Lucy Tomeka (21), Malika Kassim (19), Linda Joseph (20) na Sophia Yusuph (20).

Mashindano ya Miss Dar Indian Ocean imedhaminiwa na B’Hits Media Group Ltd ikihusiana na Redds Original, Times Fm, Abyssinia Spa, Nyumbani lounge, Bilcanas Club, RnV Media, DjChoka, Global publishers, Hugo Domingo na Makumbusho ya Taifa.
Hawa ni washiriki wa REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN 2013.

No comments: