ANGALIA LIVE NEWS

Friday, April 19, 2013

Watu 2 wafariki dunia na nyumba zaidi ya 150 zimebomoka kutokana na mafuriko kigoma.

Watu wawili wamekufa, zaidi ya nyumba mia moja na hamsini zimebomoka na familia zaidi ya mia nne hazina mahali pa kuishi baada ya kutokea mafuriko katika kijiji cha Mgambazi kata ya Igalula wilayani Uvinza mkoani Kigoma katika tukio ambalo pia limeharibu zaidi ya ekari mia mbili za mashamba .

No comments: