Sunday, May 26, 2013

CCM - CALIFORNIA YA SHEREKEA SIKUKUU YA "MEMORIAL WEEKEND"


CCM California washerehekea Memorial Weekend kwa nyama choma iliyofanyika Jumamosi May 25, 2013 Lake Chabot Regional Park- Marina, 17600 Lake Chabot, Castro Valley 

WanaCCM California wakiwasili kwenye Park kwa ajili ya nyama choma liyofanyika Jumamosi May 25, 2013.

Wadau Minja (kushoto) na Kapuya wakiwa kwenye nyama choma hiyo.

WanaCCM wa California wakiwa kwenye Lake Chabot Regional Park- Marina kwa nyama choma iliyowakutanisha wanachama na marafiki zao katika kusherehekea Memorial Weekend.

WanaCCM wakibadilishana mawili, matatu wakiwa na Nassoro Basalama (kati) aliyekua akiishi North Carolina kwa sasa amehamia huko tangia December mwaka jana.

WanaCCM wakiwa na marafiki zao wakiwa kwenye nyama choma iliyofanyika Jumamosi May 25, 2013
 Lake Chabot Regional Park- Marina

CCM Calofornia wakiwa kwenye nyama choma Lake Chabot Regional Park- Marina

WanaCCM wakijumuika na marafiki zao kwenye nyama choma iliyofanyika Jumamosi May 25, 2013
Lake Chabot Regional Park- Marina

Nyama choma ikiendelea

Wadau wakipata ukodak moment.

Nyama choma kiendelea liyofanyika Jumamosi May 25, 2013 Lake Chabot Regional Park- Marina
Picha na Walter Minja, muakilishi wa Vijimambo California.
kwa picha zaidi bofya read more.

6 comments:

Anonymous said...

Hongerani sana wana ccm good job wana mapambano ccm oyeeeeeeeeeee chama tawala

Anonymous said...

CCM CALIFORNIA NI WAKUPOGEZWA SANA. INAONEKANA WATAFIKA MBALI HASA KWA KUFANYA VITU VYA KUELEWEKA KWA WAKUWEKA UZALENDO MBELE. HII IMENITIA MOYO SANA.
BIG UP CCM NA VIONGOZI WENU HAPO CALIFORNIA.

Anonymous said...

CHAMA CHA MAPINDUZI,SHINA LA CALIFORNIA...INAONEKANA MTAFANIKISHA KWELI KWELI KUKIIMARISHA CHAMA. YAANI, INAWEZEKANA MKAWA CHACHU NA CHUMVI YA KWENYE MBOGA KATIKA UZALENDO WA MTANZANIA!. KWA MBIO HII..KWELI NAWAPA PONGEZI. NI MMEACHA ALAMA YA KUIGWA. MBIU IMEPIGWA..NI WAKATI WA KUCHEZA NGOMA SASA. ASANTENI SANA..NA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!..KIDUMU!!!

Anonymous said...

CCM OYEE!...

Anonymous said...

Jamani CCM mpaka Marekani??? Tuacheni mambo ya vyama ughaibuni itatuletea matatizo

Anonymous said...

Haya kila la heri wanachama wa CCM...... lakini msione sifa...hapa tunaanza dhambi za kubaguana tukiwa nje ya nchi...waacheni wanasiasa nchini waaendelee na malumbano na ubaguzi wao... Mkiyaanza haya mwisho wake sio mzuri..... Hapa mtaanza kutengana kiitikani...ngoja uone yajayo muda si mrefu.