Mkuu wa chuo akikielezea chuo hicho wakati wa maafali ya chuo yaliyofanyika Jumapili May 5, 2013 Fairfax Virginia nchini Marekani
Wahadhili wa chuo pamoja na mgeni rasmi katika picha
Mhadhili akitoa cheti kwa mmoja ya wahitimu wa chuo hicho kwenye maafali yaliyofanyika Jumapili May 5, 2013 Fairfax Virginia.
Baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma chuo hicho Kutoka kushoto ni Alex John Luketa(student recruitment and marketing assistant in Virginia international University ),anaefuata Veronica N Magacha ,Cathereen Virginia Minja, Rehema Waziri ,Winfrida Josephat na Jose Fabian
Bendera ya Tanzania inayowawakilisha wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma chuo hicho cha Virginia International University. ikipitishwa mbele na mwanafunzi wa Kitanzania Winfrida Josephat.
Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa chuo.
Bendera za nchi mbalimbali zinazowawakilisha wanafunzi na nchi wanazotoka zikisimikwa.
Juu na chini ni picha ya pamoja ya wanafunzi waliomaliza chuo
Hapa chini ni Video ya Alex John Luketa akielezea jinsi ya kujiunga na chuo hicho hasa kwa wanafunzi wa kutoka Tanzania hebu msikilize
1 comment:
Haya ndo mambo tunayoyataka hapa DMV maana hatuwajui watanzania walioshika nafasi nyeti katika vyuo mbali mbali hapa Marekani. Vijana changamkieni nafasi hizi!
Post a Comment