ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 14, 2013

Diamond avaa Nguo za kijeshi za Congo (military police) kwenye show nchini humo

ad5853eabc2511e28f4222000a1fb75e_7
Akiwa kwenye ziara yake ya Burundi na Congo, Diamond alijaribu kufanya kitu tofauti zaidi kwa kutinga nguo za military polisi (MP) za jeshi la Congo. “Chef de l’armée… #CoNgo ,” ameandika Diamond kwenye picha hiyo aliyoweka Instagram
Na hivi ndivyo alivyopokelewa nchini Congo

No comments: