Hili ndilo jengo ndefu kuliko yote katika mkoa wa Morogoro ambalo lina ghorofa saba likiwa katikahatua za mwisho za ujenzi wake ambapo baada ya kukamilika kwake litajulikana kwa jina la Rungwe hoteli ambalo lipo mtaa wa Boma ambapo rekodi hiyo imevunjwa kutokana na kuwepo kwa ghorofa sita mkoani Morogoro.
1 comment:
Mhariri tafadhali pitia articles kabla hazijawekwa katika blog " ghorofa refu" sio ghorofa ndefu
Post a Comment