ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 10, 2013

HILI NDILO JENGO NDEFU KULIKO YOTE KATIKA MKOA WA MOROGORO

Hili ndilo jengo ndefu kuliko yote katika mkoa wa Morogoro ambalo lina ghorofa saba likiwa katikahatua za mwisho za ujenzi wake ambapo baada ya kukamilika kwake litajulikana kwa jina la Rungwe hoteli ambalo lipo mtaa wa Boma ambapo rekodi hiyo imevunjwa kutokana na kuwepo kwa ghorofa sita mkoani Morogoro.

1 comment:

Anonymous said...

Mhariri tafadhali pitia articles kabla hazijawekwa katika blog " ghorofa refu" sio ghorofa ndefu