Advertisements

Friday, May 31, 2013

K' LYNE AWEKA WAZI UHUSIANO WAKE NA REGINALD MENGI

Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili. 

Hongera Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali Jackline Ntuyabaliwe(K'lyne) ....

1 comment:

Anonymous said...

OMG!Really haka ka binti huyu ni baba/babu yake. Bongo siku hizi wasichana hawana woga jamani. Mweeeee