Yani nyie mnachekesha dunia nzima hakuna.Nimecheka mpaka shati langu limejaa mate upande wa kifuani na mmenifanya nisahau bili zangu zote. Wote mnamidomo mirefu kama chiriku. Patamu hapo.
Hahaha yaani nimecheka mpaka natamani kulia hii show imependeza sana mlivyoweka kina dada maana wanaongea hadi raha Huyo ni yule Salma Manyoka? Duh long time yuko vizuri sana. Na huyo mdada meingine anatema point sana anaitwa nani jamani yuko juu vibaya sana. Ningependa kuendelea kumuona more huyo cha urembo amependezesha sana hii show duh.. Vijimambo iko juu mkimtoa huyo dada siangalii tenaaaa...
I love my country, I love my people, jamani Mtu Kwao bwana watanzania oyeeeee! Big up Liz na huyo dada mwingine kanichekesha kweli alafu mcheshi sana, kicheko chake tu Mimi hoi.
Wazee wa Kijiwe,hii ya leo kali sana!!! Mmenifanya mpaka nimemwaga mbege yangu kwa kucheka,hahahhahahhaa. Dada Salma na Eliza kazi nzuri sana. Mukuu Luke ubunifu mzuri sana,nimefurahi kuwaona kinadada.
Tunataka kukizamini hiki kipindi ,ila hatujui watu wangapi wanakiangalia, mngeweka mile kipimo kinacho hesabu watu wanao angalia kipindi hicho kill kikipostiwa. Nice shows you even upgrade editing! At the end of the show i like the way u give trailer for next show!
hiki kipindi kikirushwa hewani kule bongo itakuwa powa kweli so they can see maoni ya wanadiaspora. ila angalieni ma-promoter wasije wakawawekea super glue kabisa hahahahahah
9 comments:

number one show on tuesday!
I love my country, I love my people, jamani Mtu Kwao bwana watanzania oyeeeee! Big up Liz na huyo dada mwingine kanichekesha kweli alafu mcheshi sana, kicheko chake tu Mimi hoi.
Wazee wa Kijiwe,hii ya leo kali sana!!! Mmenifanya mpaka nimemwaga mbege yangu kwa kucheka,hahahhahahhaa. Dada Salma na Eliza kazi nzuri sana. Mukuu Luke ubunifu mzuri sana,nimefurahi kuwaona kinadada.
Napenda kicheko cha mama Salma...hahahaaaaaaa!!!!
Tunataka kukizamini hiki kipindi ,ila hatujui watu wangapi wanakiangalia, mngeweka mile kipimo kinacho hesabu watu wanao angalia kipindi hicho kill kikipostiwa. Nice shows you even upgrade editing! At the end of the show i like the way u give trailer for next show!
hahahah New Delhi ndo mambo yote

Post a Comment