PIGA 301-661-6207 KUANZIA SAA KUMI JIONI
KUKU WA KUCHOMA/PILAU
SAMAKI WA KUKAANGA/NDIZI KAANGA
MIXED GREENS SALAD
MBUZI WA KUCHOMA/CHIPS
HAMBURGER ZIPO PIA
KARIBUNI.
ADDRESS YETU NI
2310 PRICE AVE,SILVER SPRING-WHEATON,MD,20902
MGAHAWA WA KITANZANIA WASHINGTON DMV .
2 comments:
mamaaa miaaa hii misosi ya nguvu kweli itabidi nije DC Nije nijipatiye vitu vya nyumbani huku nilipo natokwa na madenda tuu na nishachoka kula vya kimarekani
safi sana wajisili mali wa kufanya mambo kama haya poa nakupeni kumi na karibu nakuja dc kula misosi yenu au mnaweza kufanya fedex experss to another state niambiyeni please
tafuta restaurant za wa west Africa lazima zitakuwepo ulipo, ulizia. au maduka yao ya vywakula hata ya wahindi wanauza vya nyumbani.
Post a Comment