Monday, May 13, 2013

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO


 Waziri wa ` Ujenzi John Magufuli akisoma hotuba ya bajeti ya Wazara yake, Bungeni Mjini Dodoma, May 13, 2013.
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Viwanda  na  Biashara, Abdallah Kigoda, Bungeni Mjini Dodoma May 13, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bukene, Selemani Zedi kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 13,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: