Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipewa maelezo na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Wilman Ndile (kushoto) alipokwenda kuangalia jengo la Mahakama ya Mwanzo Mitengo mjini Mtwara, jana. Jengo hilo lilichomwa moto na watu wasiojulikana katika vurugu zilizotokea mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia. Picha na Abdallah Bakari
No comments:
Post a Comment