ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 11, 2013

NI LEO USIKU @NEW TANZANIA PLACE KUANZIA SAA 4 USIKU HADI SAA 10 ALFAJILI LADIES AND GENTLEMEN DRESS IMPRESS AND FREE.


Ni leo hii Usiku New Tanzania Place utapata burudani ya muziki wa flava, rusha roho na bolingo kutoka kwa Dj Bilal. Kila jumamosi usiku kuanzania saa 4 usiku hadi saa 10 alfajili, Dress to impress and its free of charge.
Atlantic Ave & Logan St Brooklyn, 
NY 11208
For More Information Call this # 347-475-4313.

Watu peeeeeeeeople.........leo ...jumamosi  mambo  yatakuwa kama kama hivi................
New York ladies this is dah place to be...karibu.  
Ni leo Usiku karibu wote ni sehem mpya njoo tuwe pamoja kwa cheza music wa nyumbani. Kiingilio ni bure vaa upendeze na kuwa confortable kwa kucheza music maana akuna kulala hapa mambo yote ni Dj Bilal. Kwa train ni J to Brooklyn na unashukia Norwood Ave, one block away kuelekea upande wa west utakuna na Atlantic ave na Lagon st ....hapo hapo corner ndiyo ni mpango mzima wa Mother's Day weekend ndiyo huu. Parking bure nyuma ya jengo Bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiida mia mia. 

NEW TANZANIAN PLACE 

No comments: