|
Dr Temba C.E.O wa Temba Engineer akiwa na mmiliki wa kiwanda cha 814 American Inc. Dr Temba alikuwa kiwandani hapo kwa ajili ya kupata maelezo na kukabizi propose ya kazi ya kutengeneza moja ya machine ya kiwanda hicho. |
Dr Temba akitoa maelezo kwa maneger wa kiwanda hicho juu ya nini kifanyike hili machine hiyo ifanye kazi yake kwa ubora unaotakiwa.
Dr Temba akikabizi makubaliano ya project hiyo
Wakipata ukodak na wafanyakazi katika sehem inayotakiwa kufungwa machine hiyo
No comments:
Post a Comment