ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 22, 2013

Spika ameahirisha kikao cha bunge kufuatia vurugu zilizo ibuka Mtwara..

Spika wa bunge ameahirisha kikao cha bunge jioni hii kutoa muda kwa serikali na uongozi wa bunge kutafakari na kutoa taarifa bungeni kuhusu hali halisi kufuatia vurugu zilizotokea Mtwara wakati bajeti ya wizara ya nishati na madini ikijadiliwa bungeni.

1 comment:

Anonymous said...

Jamani hawa the so called viongozi wetu wakoje?
kikwazo kikubwa sasa si ujinga wa wananchi bali ni fikira mgando za tuliowakabidhi madaraka ya kutuongoza/kututawala: mbunge anafikiri wananchi wa Mtwara hawana akili za kufanya maamuzi kama haya, Rais wetu naye hivyo hivyo anadai kuna watu wanaowachochea wananchi kudai haki zao!!! Hawa watawala wanafikiri wananchi ni ma-robot ambao hawaoni maovu wanayotendewa na kuchukua hatua bila kuchochewa na mtu ye yote, awe wa ndani au wa nje. Badala ya kujiangalia walipokosea, wanakimbilia propoganda zilizopitwa na wakati za kwamba kuna wachochezi wa ndani na nje ya nchi. Shame on you MPs na Rais.