Advertisements

Wednesday, May 22, 2013

Vurugu zaibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa bunguni....

Mtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC. .

No comments: