Saturday, May 25, 2013

UHURU KENYATTA KUTUMIA CHOPPER KUPUNGUZA FOLENI

Tangu Uhuru Kenyatta aingie madarakani uongozi wake umekuwa uki make headline kila siku kwa mambo ambayo pengine hayajawahi kufanyika

ali make headline kwa kuweka idadi ndogo kabisa ya mawaziri pia Makamu wake Bwana Ruto kununuliwa Private Jet ya kifahari kwa ajili ya mizunguko yake ya kikazi

sasa basi ishu mpya ni kwamba ametangaza kutumia chopper la kijeshi{pichani} itakayokuwa ikimtoa ikulu mpaka Airport ikisemekana kuwa nia ni kuondoa foleni itakayokuwa ikisababishwa na msafala wake endapo atatumia magari..

Unauonaje utaratibu huu??

4 comments:

Anonymous said...

Sasa huu si ujinga mtumwa haridhiki mpaka ajizihirshe kuwa yeye ni mtumwa sijamuona muengereza halisi au mmarekani akiandika kiengereza na kuchananya na kiswahili.

Anonymous said...

Muingereza au mmarekani na kiswahili, hapa vipi?

Anonymous said...

Ni uamuzi mzuri unaoonesha ubunifu katika utawala. Mimi nimekuwa nikitoa maoni haya haya kwa waBongo - kwamba hasara na usumbufu kwa wananchi inayotokana na misafara ya JK hususa kati ya Dar na Msoga ingepunguzwa kwa kumnunulia chopper. Ambayo pia ingetumika kati ya Ikulu na Uwanja wa ndege. Nawapongeza WaKenya, wataendelea kuonesha njia. Huu ndo ubunifu.

Anonymous said...

Mkwele akipita juu nani atajali? na yeye anataka watu wajali