RODGERS EXPORTS, LLC.
Tunatanguliza shukran zetu kwa watu wote wanaoshirikiana nasi katika biashara yetu hii,
Rodgers Exports,LLC. inawatangazia watu wote kwawle wanopendelea kusafirisha mizigo kwa njia ya Contenar kwenda Tanzania- Dar es salaam na Zanzibar, usafiri utakuwepo Mar-28-2013, tunawaomba watu wote ambao wamesha wasiliana na sisi kwa uchukuwaji wa mizigo kuzingatia time) na tarehe za ukusanyaji wa mizigo,MAY-18-TH20-2013 ukusanyaji wa mizigo utafanyika Canton OH,na Columbus OH, DC, VA, DL, PA, NJ, NY.na MAY-25-2013 ukusanyaji wa mizigo utafanyika GA, wasiliana na HAJI (919) 672-6063, au Feisal njenje (919) 627-4844,ndugu mtanzania na marafiki tumia huduma hii bora kwa usafirishaji wa mizigo yako popote ulipo USA, Bila ya kusahau kwawale wanaoish mbali na sisi tunawakumbushia watumie Acc# yetu ya FedEx Groud kwa kutuma mizigo yako (NC) bila ya malipo wala matatizo yoyote, ndugu mtanzania na marafiki tumia Rodgers Exports LLC kwa kusafirisha mizigo yako kwa bei nafuu , na usalama wa hali yajuu,kwa maelekezo zaidi tembelea katia Tavuti www,rodgersexports.com au tuandikie rodgersexports@gmail.com
No comments:
Post a Comment