Amina Ndee mfanyakazi wa Dar Es Salaam Stock Exchange akiwa Washington, DC kwenye Vakesheni yake kama alivyokutwa na kamera ya Vijimambo siku ya Jumamosi June 15, 2013.
Amina Ndee akiangalia luninga kupata mawili matatu yaliyojiri kwenye jiji hili la watunga sheria alimaarufu Chocolate City
Amina Ndee akiwa namwenyeji wake Aunty Asha.
Amina Ndee akipata ukodak moment kwenye jiji la watunga sheria
Amina Ndee akilakiwana mwenyeji wake Aunty Asha uwanja wa ndege wa kimataifa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
Amina Ndee akiwajulisha nyumbani kwamba amefika salama.
kwa picha zaidi bofya read more
1 comment:
hongera bi harusi, kweli harusi ni jambo la kheri, umependezaaaa
Post a Comment