
Juu na chini ni taswira za Bob Junior akishuti video ya wimbo wake mpya maeneo ya sokoni Kariakoo akiwa kama cinga aliyetiwa kashikashi na askari wa almashauri ya jiji Bob Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu k…Aaaaah Maisha Haya Ya Bongo?,,,,COMING SOON Huu Mzigo…1 Love.


Bob Junior akiwa location kushoot video yake mpya, duuuuuuh...!!! kaaazi kweli kwelii
No comments:
Post a Comment