
Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
4 comments:
Kumekuchaaaa safii sana. fagia fagia fagia weka ndani kabisa. Wanamgambo mnafanya kazi nzuri sana, tembeleeni moshi, arusha, mwanza na Dodoma huku nako ndo wamejaaa tele ndo maana gonjwa la HIV/AIDS haliiishi maana machangudoa wana lala hovyo.
wanawaonea tu kwa nini wasipewe vibali na kuwa professional kama huku majuu changudoa wa majuu unafikiri utamgusa subutu unabaki kukodowa mimacho tuu na udenda unakutoka tena walivyo maprofessional wanawachukua wabunge ma ceo etc sio eti machangudoa wetu wa nyumbani tunawaonea hivi wenyewe wemeamua kujipatia riziki zao hivi leo mnawakamata je mtawapa kazi au tena ndo na nyinyi mnataka mpewe cha bure bure ndo hivyo mnavyotaka nyinyi maaskari
ningekuwa na uwezo ningewachungu huku na kuwa manager wao na kwenda kuwa soap soap wangekuwa na maaisha mengine siyo ya mlala hoi taaban huko bongo
msiwaone bwana serikali na wahusika wapeni vibali wajulikana kwa kazi yao hii mtu anawataka awafuate wapi wako etc
nimekupeni bongo la mawazo changamkeni wajasili mali
na ugonjwa mtaupata tu mlio na tamaa ya kudonowa donowa mitaani mkawacha wake zenu nyumbani
Mdau wa june 17,2013 at 6:34pm...Unasikitisha sana sasa unataka kufananisha majuu na Tanzania? au na wewe ni wale mlio feli form four? Ndo maana Tanzania tukaitwa "third world country" na America ikaitwa "first world" country! a huge difference. Hatuwezi kuiga kila kitu kinachotendeka majuu/maulaya haiwezekani hata kidogo. kabla hujachangia comment za sifa tafadhali fikiria kidogo. Tanzania tuna kanuni zeetu haziruhusu machangudoa, kwanza wanaeneza magonjwa na itawagarimu hao wanao umwa hela nyingi tu sana kuyatibu na wengi wao hawana uwezo na serikali haitaweza au kumudu kuwasaidia. Majuu unaweza tibiwa hata bure, najuwa UK, London wanatibiwa bureee kabisa bila gharama, sasa hapa nani atakutibu bure maana hata hospital za serikali lazima ulipe.
kwa vile umeshindwa uwezo wa kuwachukuwa majuu, basi jaribu njia mbadala ambayo huna hasara ya kuleta mtu mpaka biashara ikishamiri utaweza kuleta wengine, unaweza kuwa manager na manswapu akapiga mzigo, ndio maisha, wateja tupo.
Post a Comment