HISTORIA FUPI YA FREEMASON.
Ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao.
Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wanajitangaza kama shirika zuri tu.
Naomba niorodheshe mambo machache niliyoambiwa kuhusiana na Freemasonry.
1. Ni kweli Freemasonry kama ilivyo maana yake kwanza ilkuwa ni kundi la mafundi waashi (masons) au wajenzi kuwa lugha nyingine. Walikuwa ni wataalamu waliobobea kwenye masuala ya ujenzi wa mahekalu na mabenki ya zama hizo zinazoitwa kwa kizungu (medieval times).
Niliambiwa walikuwa ni watunzaji wa pesa za kanisa katoliki. Kwani walikuwa wanajenga mahekalu(cathedrals) za wakatoliki na mabenki/ mahandaki ya kuhifadhia pesa pamoja na kuzikia(catacombs).
Niliambiwa wanaweza kujenga hayo maandaki kwa utaalamu mkubwa kiasi kwamba ukiingia ndani ya hayo mahandaki bila ramani unaweza ukashindwa kutoka hata unaweza kupotelea humo humo ndani usiweze kutoka tena. Hicho ndicho kilichokuwa ni kiwango cha utaalamu wao.
2. Kwa kuwa walikuwa ni waashi ndiyo maana alama zao ni vifaa vya ujenzi, Pima maji n.k
3. Inasemekana mji mkuu wa marekani (Washington DC) ulisanifiwa na kujengwa na Freemasons. Na inasemekana ni mji makini ambao umejengwa ukizingatia pembe tatu zenye nyuzi zinazowakilisha u freemason.
4. Ikatokea kipindi ambapo hawa freemasons wakaasi kwa kuanza kujishirikisha na mambo ya nguvu za giza. Wengine wanasema walianza kuiba pesa za kanisa katoliki, lakini ukweli halisi haujulikani. Kutokana na sababu hizi na zinginezo ambazo ni siri kati ya kanisa katoliki na freemasons, Freemasons wakafukuzwa kutoka ukatoliki.
Ndio maana hakuna maelewano kati ya freemasons na wakatoliki. Wakatoliki wakaanzisha shirika jingine badala ya hao freemasons lijulikanalo kama Jesuits.
Jesuit Fathers ni mapadri wa katoliki wa daraja la juu sana wenye elimu ya juu zaidi ambao hufanya kazi za siri za utawala na udhibiti ndani ya kanisa katoliki.
5.Kuhusu imani yao (freemasons) nikaelezwa kwa kifupi kuwa wanaamini Yesu na Lucifer ni mtu na ndugu yake. wanaamini kuwa Lucifer ndiye mwema na mzuri lakini wanaamini kuwa Yesu ndiye mwenye mabaya. alimfanyia hila Lucifer aonekane mbaya.
6.Kinachoendelea ndani yake kuhusiana na ibada zake ni siri kwani kuna daraja ambazo muumini wa freemason anapanda kutokana na kubobea katika imani ikiwa ni pamoja na kutunza siri zao. Ninajua kuwa daraja ya juu kabisa ni nyuzi ya 33 (33rd degree)
7. Ni watu wenye nguvu mno na mambo yao ni makubwa mno na siri zao ni nzito mno. Ndiyo maana haziko wazi.
Wafuasi wa kiwango cha chini wala hawajui shirika hili linahusika na nini manake hata wao hawaambiwi kitu. Kwa wafuasi wa daraja ya chini wanakwenda ku socialize tu. Yaani kwa wasio jua kitu kule kwenye lodge zao ni kama ywca au wmca au club hivi. Kwenye nchi kama marekani watu wasio jua siri wanachukulia kama sehemu za kusocialize tu.
8. Freemasonry inawekwa pamoja na makundi mengine makubwa ya siri, yanayoendesha ulimwengu mzima kwa nguvu za kiuchumi, siasa na mambo ya utawala.

11 comments:
This is one of stupidest compose story I have ever read . Kama huna points acha kuandika . Mmewashikia Bango hawa watu, badala ya kuwaza maendeleo yenu binafi na Tanzania kwa ujumla. Magonjwa, elimu duni, hakuna umeme,maji, usafiri . Etc . Mmekazania FREEMASON. Acheni siasa za kuwatia watu owoga na ujinga, badala ya kuwakwamua katika matatizo yanayowakabili. Mwisho mtasema mchina nae Freemason .tharatt.
They will burn in hell fire
hawa jamaaa ndio wanaendesha dunia
This is conspiracy theory... just like when people says the Jews are controlling america or Sept 11 was inside job, these are stupid conspiracy theories perpetuate by people for their own deep seated hatred against America or Jews.
Unaanza mambo ya ajabu ajabu ya shingogo sasa , achana na hizi habari za uongo tupige kazi hakuna kitu hapa zaidi ya kupotezeana na muda na wajinga ndio wanoamini haya mambo , ushaona wapi Imani inafichwa kwa watu wa chini ili iweje , yaani ufike juu ndio wakwambie acha hizo hakuna kitu kama hicho cha namba 5 , vimajambo iko juu ila mkiaanza haya mambo yasio na Tija ndio inaaza kuonekana kama blog ya umbeya
Sema unachoona kinaweza kumsaidia mtu sijaona kosa la vijimambo kutupa hii habari usieamini au usietaka kuamini acha na wala usitoe comments za kupinga, kwahiyo unaepinga unaona raha watu wakipotea na kuenda jehanamu...somo zuri na la kuonya na kufungua macho watu wajue tunaelekea wapi tusipokuwa makini
Vijimambo siamini na wewe umeanza mambo ya ushirikina!!! Hii blog mie naingiaga maana inanifahamishaga mambo ya jamii na kila kitu sasa umeanza kutuwekewa blah blah za FREEMASON!! this is the most stupid theory ever! who gives a damn about freemason anyways? watu wacheni kufanya kazi mng'ang'anie freemason. so stupid this is.
FREEMASON. hawa jamaa wapo,
ni sehemu ya jamii,
inabidi tuwajue,
coz muda mwingine wanazuru,
lazima tuwe watu wakutazama jamii kwa ujumla ikiwepo elimu na vitu kadhaa vinavyoweza kukomboa jamii,
ikiwepo kuwaambia watu ubaya wa hawa watu.
kama huamini acha kusoma habari zao coz hazitasaidia,
kama unaamini wapo soma uwajue ili uepukane nao.
siku njema
Sio Lazima uamini ila awa watu wapo na sio vizuri kuchangia kwa kutumia lugha ya kejeli na kujiona kuwa Unajua kumbe mburula tu,na kizungu chako cha kuunga unga,you have to think well before to talk......!!!!!'
oya anonymous@acha ujinga unafikiria mambo ya kijinga tu kila wakati sijawah kuona umetuma commemt!au nawe ni miongon mwao?unaweza ukawa mkubwa kichwa tu akili huna una maisha gan ya kusema unawaza acha kutekwa@yohanes@
Duuuuh, kweli dunia imefikia pabaya yaani mtu anajaribu kuielimisha jamii na wengine wanapinga? PENGINE NANYI NI MIONGONI MWA FREEMASONS, na ndo maana unapinga habari hizi kama hazina faida kwako wazisoma za nn? Je, ww umewaza mangapi juu ya taifarako ktk kuokoa watanzania wenye elimu duni, umeme na maji? Au wanyoosha vidole tu kuona matatizo ya wenzako ila yako haujaona? Watz weng twapenda kujua habar hizi za Freemasons kama ww hutaki acha co kuongea pumba zako, nenda sasa ukaishi marekani kwa wafuac wenzio.
Post a Comment