Poleni sana, This is very sad and painful. Mimi kama mzazi sijui chakusema. Mungu ambariki Bertha na wazazi na ndugu zote pamoja na marafiki.
May ur beautiful soul R.I.P dear kazi ya Mungu haina makosa bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe daima na milele Amen poleni Sana Pam na Elizah mwenyezi Mungu awapeni nguvu Amen.
Poleni sana kwa msiba...japo hatukupata nafasi ya kuja lkn tulikuwa pamoja kiroho..Mungu wa huruma na rehema awafariji.Amen!!
Post a Comment
3 comments: