Bondia Parick Kavako 'Baunsa' wa Morogogo kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katikas ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni
Mabondia Mariam Abdallah kushoto na Lulu Kayage wakiwa wamepozi kwa ajili ya picha za mpambano wao utakaofanyika jumapili ya june 16 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dasr es salaam picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment