Maduka 13 ya wafanyabiashara za jumla yameteketea kwa moto Muheza.
Maduka 13 ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa za jumla wilayani Muheza,yameteketea kwa moto kufuatia hitilafu ya umeme katika mojawapo ya maduka hayo na kusababisha cheche kuruka katika magodoro kisha moto huo kusambaa.
1 comment:
Anonymous
said...
Aibu sana na tena inasikitisha mpaka leo hii watu wanazima moto na mabeseni ya maji na makopo ya mafuta ya kupikia!!! Kweeli Tanzania tupo nyuma sana jamani!!! hii ni Karne ya ishirini na moja na bodo wananchi wanapata taabu kuzima moto kwa shida kiasi kikubwa hivyo!!Duu! sasa hapa ndo unauliza WABUNGE WAKO WAPI? MAWAZIRI WAKO WAAPI? KUTWA KUSUTANA BUNGENI WAKATI WANANCHI WA SEGEREA HAWANA GARI LA ZIMA MOTO? WAAPI MBUNGE WA SEGEREA JAMANI AULIZWE?

Post a Comment