ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 22, 2013

MAMA MUKAMI KUFANYA MISA YA MAMA YAKE LEO JUMAMOSI JUNE 22, 2013

Mama Mukami (kulia) akiwa na mama yake wakati alipokwenda kumuuguza mwishoni mwa 2012

Mama Mukami anapenda kuwataarifu na kuwakaribisha kwenye misa ya mpendwa mama yake itakayofanyika leoJumamosi June 22, 2013 saa 5 asubuhi (11:00 am) 
St. Camillus Church,  
1600 St Camillus Drive • 
Silver Spring, Maryland 20903

Nabaada ya misa kutakuwepo na viburudisho
Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe mwenzio

Kwamaelezo zaidi na maelekezo.
MamaMukami- 301 904 9055
Ruth-301 367 8722
dress code it is all black, wanawake kutupia khanga begani ya aina yoyote.

MISA ITAFANYIKIA KANISA KUBWA

Karibuni tujumuike pamoja.
.

No comments: