ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 23, 2013

MIAKA 13 YA KIKOSI CHA MIZINGA JANA VIWANJA VYA MSASANI CLUB DAR

Afande Sele akiimb kwa hisia kali
Kalapina akifanya mambo kwenye stegi
Chidi Benz ndani ya nyumba

Mashabiki wakiwa mzukaa mbaya
Washabiki kwa saaaaana
hayaaaa
Kumbukumbu Muhimu Mwana
Mashabiki waki enjoy show ya miaka 13 ya kikosi cha mizinga
Songa akiwa kwa steji akifanya yake
Tabla akifanya yake kwa steji Mashuati kwenye stage wakionyesha ujuzi wa karate raha kwelii Haya sasa Man 2 Man Battle nichane nikupasue Ohhh usiogope jamaa hapigwiiii ila ni mizuka ya battle man 2 man
Kundi la Kiokosi cha Mizinga limefanya show ya kutimiza miaka 13 tangu lianzishwe
Show hiyo iliyo hudhuliwa na mashabiki kibao wa hip hop wa Jijini Dar es salaam.
Onyesho hilo lilifanyika usiku wa kuamkia leo na kuhudhuliwa na wasanii wa muda mrefu sana waliopotea katika mziki huo wakiwemo Member wa Kundi la Wateule,Mark 2 Be aka Simba wa kundi la Big Dogg Poz
Chanzo:dj-sek.blogspot.com na bongo5.com

No comments: