ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 16, 2013

MISA YA KISWAHILI DMV

kutoka Fr John Sahr Fellah, Fr Leandry Kimario na Fr. Shao wakiongoza misa ya kiswahili iliyofanyika  leo Jumapili June 16, 2013 kwenye kanisa la Mt. Camillus lililopo Silver Spring, Maryland.
Fr.Leandry Kimario akisoma Injili
Fr. John Sahr Fellah kutoka Sierra Leone akifuatilia misa.
Sr. Teresia Hayuma akisoma somo la pili.
Charles Katera akisoma somo la kwanza.
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye misa ya kiswahili iliyofanyika leo Jumapili June 16, 2013.
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: