Mwanadiaspora Dj Dennis Shengena alonga na Vijimambo aelezea maisha yake kwa ufupi, Je alishawahi kupiga muziki wa Club Tanzania? Hapa Marekani Je? ni nini kilimleta Marekani, Mabasi ya Shengena yanauhusiano gani na jina lake la ukoo? ni Dj gani wa Bongo enzi hizo aliyekua anamchengua, pamoja na mambo mengi MSIKILIZE
5 comments:
ni twin cities not twin towers DJ Luke lol!
Sawa Mukubwa, good interview.
Asante sana Luka. Tovuti yangu ni http://www.ThaFunkHouse.com nipitie ukiwa na muda.
Mzee Denis, eeee bwana umenikumbusha mbali sanaaaa. Mwanangu kumop si mchezo. Big Up Denis. Very honest guy since back the days.
Asante sana Baraka. Hiyo kitu ya kupiga deki ni balaa jamaa.
Post a Comment