ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 22, 2013

OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI JUKWAANI HUKO DODOMA


Kuna tetesi kuwa Ommy dimpoz arushiwa chupa na mawe jukwaaani dodoma na kushindwa kufanya show ya kilimanjaro muzik award dodoma. Wadau wa Dom wasema kamwe msanii yoyote atakaye mdisi msanii wa dodoma awatamkubari kufanya show Dom na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo

4 comments:

Anonymous said...

Bora wamemkomesha na akome kabisa na asije Marekani kufanya show yake hatutaenda sasa hivi ni bora atafute maisha mengine but kujiita yeye ni star na kujigamba hiyo tena haipo.Aende kupiga magoti na aombe msamaha kwenye kaburi la Mangwea labda atasamehewa lakini msamaha aliojidanganya kuoba 2 weeks ago ni amejichoresha ni mpuuzi sana huyu kaka ameshaharibu fun yake ya music huwezi kumsema mtu aliyekufa hata siku moja,kaburi linakuangaliya na wewe.Pole zake

Anonymous said...

Watanzania mnachukia kuelezwa ukweeli sana sijui mtaishi vipii nchi za wajanja maana lazima uambiwe ukweeli. Yeye alitumia FREEDOM OF SPEECH kitu ambacho hakipo Tanzania maskini ya Mungu sasa anakiona cha mtemakuni! Duu! Ni kweli alichokisema kuwa Ngwair amekufa masikini kabisa sasa kibaya hapo ni kipiii? khaaa!

Anonymous said...

wabongo mjenge tabia ya kukubali kukosolewa na kuambiwa ukweli sasa alichodanganya Ommy nini? kwani uongo mangwea hajafa masikini? kafanye show zako marekani wala usiogope wabeba box ni waelewa watakupasapoti kaza buti

Anonymous said...

Yap thats right sasa hivi yeye ndiye atakayekufa masikini,show yake aliyoifanya Dodoma alifukuzwa kwenye stage na mawe sasa maisha gani hayo?kamuombe msamaha Ngwair pale alipo lala ktk nyumba yake ya milele na pia vile vile ukamuombe mama yake Ngwair msamaha na ukapige goti lako ili usamehewe.Ovyo acha tuu kuimba kwenye stage ni watakumaliza.Aibu gani uliyoipata Dodoma?