ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 21, 2013

PICHA YA LEO

SIJUI ANAWAZA NINI MTOTO HUYU MDOGO

8 comments:

Anonymous said...

Huyu mtoto atakua kachapwa hapa kalia hadi kanyamaza mwenyewe

samkivuyo said...

Ukitazama tuu mazingira yaliyomzunguka inatosha kukupa picha kamili ya kilichopo kichwani mwake, mungu ampe nguvu na afya njema kiumbe hasiye na hatia.

Anonymous said...

Hii ni noma.

Anonymous said...

Maisha, mama anachelewa, ndoo hiyo kubwa kwake basi tabu.

Anonymous said...

too cute....

Baraka Daudi said...

she is very gorgeous little princess.

Vincent said...

Anafikiria maji Atapata wapi

Anonymous said...

Atakuwa tu kwenye foleni ya maji, anajiuliza atafikiwa lini